Home
»
» Unlabelled
» BUNGE LA KATIBA LATUMIA SH. BILIONI 27
Hadi kufikia jana serikali imetumia Sh. bilioni 27 kuendesha Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma.
Waziri wa Fedha ambaye pia ni mjumbe wa bunge hilo, Saada Mkuya Salim, aliliambia Bunge Maalumu jana.
Aliwaeleza wajumbe kuwa serikali imesitisha hata kupeleke maji, umeme
na huduma nyingine muhimu vijijini ili kuwezesha kuandikwa katiba hiyo.
Kadhalika imejitahidi kila wakati kuwapa wabunge stahili zao na mara nyingi wajumbe hawajacheleweshewa kupata hela zao.
Post a Comment