
Kuna ule utani wa mashemeji lakini
utani wa shemeji yangu huyu umezidi
ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yango ya
kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeju yangu nyumbani
kaka alikuwa bado hajarudi. kama kawaida yake akaanza.
"haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini" nikamuambia leo sina kitu
wife kesho nitakuletea bonge la zawadi akasema wala usijali mume wangu
leo nina bongo la zawadi yako, mi nikajua utani
bwana aliniacha sebuleni yeye akaingia chumbani kwake na mimi pia
sikukaa sana nilienda chumbani kwangu mara tu nikasikia ananiita shemeji
njoo huku tayari nikatoka, akaniambia njoo huku chumbani kwangu,
nikafika ila nikaishia mlangoni akaniambia ingia shemeji. heehh
nikamkuta amevaa nguo moja fupi ya ajabu akaniambia ngoja nikuonyesha
mambo ninayompa kaka yako akaanza kukaa style tofauti tofauti pale
kitandani za kusisimua, kweli nilishindwa kumuelewa nikamuuliza shemeji
huu ni utani pia au uko serious. akaniangalia tu machoni halafu
akaendelea. Nilivyoona vile nilifungua mlango nikatoka. akaaniita kwa
hasira mi nikarudi chumbani kwangu nikalala. Sasa namuonea hata aibu
kumuangalia shemeji yangu. Hii ni sawa kweli wadau..!!
Post a Comment