0
Shaffi,upo sahihi ila kutokana na utapeli soka la bongo hata leo aletwe kocha

anaye ifundisha timu ya taifa ya blazili hakuna atakacho vuna,watoto wengi 
wanatoka dar wakati mikoani wanandanywa watachukuliwa tu hilo hali
wezekani,watoto wamikoani wapo freshi kabisa kisoka lakini wazuri 
na kuchukuliwa watoto wa viongozi au waototo wanaotoka katika familia 
tajili tu.


TANZANIA KUKUA KISOKA NI NDOTO MPAKA MATABAKA YA MATAJILI 

NA MASIKINI YAISHE.

Post a Comment

 
Top