0
KELEKEA LISBON FAINALI YA UCL 
#HEINEKENUCL #UCLMOMENT 
Tangu mwaka 1992 ulipoanzishwa mfumo wa UEFA Champions League, timu za kutoka taifa la Spain ndio lenye mafanikio zaidi wamechukua kombe hili mara sita, mara moja zaidi ya timu za Italy. Timu za Spain zimechukua UCL – 1998, 2000, 2002, 2006, 2009 na 2011 – walicheza fainali mara 9 wakati Italy kupitia vilabu vyake zimechukua kombe hilo miaka ya 1994, 1996, 2003, 2007 na 2010 baada ya kucheza fainali 11. Timu za kutoka England ziliibuka mabingwa miaka ya 1999, 2005, 2008 na 2012 na walifungwa kwenye fainali miaka ya 2006, 2007, 2008, 2009 na 2011 - vilabu kutoka Ujerumani viliibuka mabingwa wa kombe hilo miaka ya 1997, 2001 na 2013 na timu hizo zikawa washindi wa pili miaka ya 1999, 2002, 2010, 2012 na 2013.

Post a Comment

 
Top