0
Sisi ni Mapacha tunahitaji mpenzi mmoja mwenye mapenzi ya dhati atakaye tupenda kwa dhati. Maana tunapitia kwa wakati mgumu sana., mimi na dada yangu tunaishi na mama yetu wa kambo anatupiga kila siku na kutunyima chakula. Baba yetu alishafariki, Hivyo tunahitaji mpenzi tuondokane na mateso haya.
ANGALIZO:- Mtu atakayejitokeza awe tayari kututunza wote wawili maana hatuwezi tengana. Naomba unisaidi KUSHARE basi na wengine wajue!!

Post a Comment

 
Top