
VIJEMBE VYA MAKOCHA VYA TAWALA NCHINI BRAZIL
Brazil wameendela na mbwembwe zao wakipiga picha,mazoezi,ikiwapo na hoja ngumu ya kocha,LUIS FELIPE SCOLARL,akisikika kutamuka waziwazi,kwamba,michuano inayotarajiwa kuanza leo nchini humo,Kombe hilo ni mali ya wabrazil na sio mari ya nchi nyingine.

Post a Comment