
MAISHA YA MCHEZAJI WA COLOMBIA CAMILO ZUNINGA MTATANI
Mchezaji
wa timu ya taifa ya Colombia Camilo Zuniga amesema kwamba bado anapokea
simu nyingi za vitisho kutoka kwa watu wasiofahamika kutokana na
kumuumiza mchezaji wa Brazil Neymar kwenye michuano ya kombe la dunia.

Post a Comment