DROGBA, KWA HERI MECHI ZA KIMATAIFA 01:46 Unknown 0 A+ A- Print Email Didier Drogba ametangaza kuwa amestaafu rasmi kuchezea timu ya Taifa ya Ivory Coast. Katika kipindi chote alichoichezea nchi yake, Drogba amecheza mechi 104 na kufunga magoli 65. Aidha ameshiriki fainali tatu za michuano ya kombe la Dunia.
Post a Comment