KIUNGO
Victor Wanyama aliokolewa na Polisi baada ya mashabiki wenye hasira wa
timu yake ya taifa, Kenya kuvamia Uwanja kufuatia Harambee Stars
kutolewa na vibonde Lesotho katika hatua za Awali za Kombe la Mataifa ya
Afrika.
Mashabiki
wa Kenya walivamia Uwanja baada ya dakika ya safe ya 0-0, timu ya
Wanyama ikiwa imetoka kufungwa 1-0 katika mchezo wa kwanza.
Police
waliingia uwanjani na kumuokoa Wanyama anayechezea Southampton ya
England na kumsindikiza kutoka uwanjani. Kocha Adel Amrouche, alifukuzwa
baada ya mechi.
Lesotho
sasa itaungana na Uganda, Botswana, Sierra Leone, Malawi, Msumbiji na
Rwanda, kwenda kwenye makundi ya kuwania tiketi ya AFCON mwakani nchini
MoroccoChupuchupu: Kiungo wa Southampton, Victor Wanyama jana aliokolewa na Polisi Nairobi
Post a Comment