KIUNGO Xavi ameteuliwa kuwa Nahodha mpya wa Barcelona kuanzia msimu ujao.
Beji ya Unahodha wa Barca imeachwa wazi na beki Carles Puyol aliyetungika daluga zake mwishoni mwa msimu na kura zikapigwa kumpata mrithi wake.
Nyota huyo wa Hispania, alishinda jura zilizopigwa na kutangazwa rasmi jana kuwa Nahodha Mkuu, akifuatiwa na Andres Iniesta, Lionel Messi na Sergio Busquets, ambao watakuwa Manahodha Wasaidizi.

Ongoza kwa mfano: Manahodha wa Barcelona kutoka kushoto Sergio Busquets, Lionel Messi, Xavi na Andres Iniesta
Post a Comment