
SUAREZ ATUPIA MBILI BARCELONA IKIWACHAPA 5-1 WADOGO ZAO
Mkali wa mabao: Mshambuliaji Luis Suarez akiichezea Barcelona A dhidi ya Barcelona B katika mchezo wa kirafiki uliodumu kwa dakika 60 ambao alifunga mabao mawili kwenye ushindi wa 5-1. Suarez anatumikia adhabu hadi Oktoba baada ya kumng'ata beki wa Italia Giorgio Chiellini katika Kombe la Dunia Juni mwaka huu.

Post a Comment