0



Leo klabu ya yanga inakabidhiwa ubingwa katika uwanja wa Taifa,yanga watakabidhiwa kombe na wazamin
wa ligi kuu vodacom ambapo zawadi mbalimbali zitatolewa kwa wachezaji waliofanya vizuri
mashabiki pamoja na wanachama wamekuwa na furaha sana kuhusiana sherehe zinazoendelea,
mbali na hayo yanga kesho ama kesho kutwa watakwea pipa kuwafuata wangola ili kumazia
mechi yao pia kutinga hatua ya makundi.
HAPO CHINI KATKA PICHA WACHEZAJI WAKICHEZA
unahisi wimbo gani wanacheza na leo mashabiki watoa wimbo mpya
yanga je wimbo gani huo?

Post a Comment

 
Top