
AZAM FC ILIVYOTOANA JASHO NA WASUDAN JANA KIGALI
Beki
wa Azam FC, Shomary Kapombe akimtoka beki wa Atlabara ya Sudan Kusini
katika mchezo wa Kundi A, Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe
la Kagame jana Uwanja wa Kigali, eneo la Nyamirambo mjini Kigali,
Rwanda. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2.

Post a Comment