![]() |
Shabiki wa Yanga SC akipata chakula kwenye sherehe za uzinduzi wa la Simba SC la Home Boys, liliopo Wazo eneo la Tegeta mjini Dar es Salaam juzi. |
![]() |
Shabiki huyu aliibuka kwenye sherehe ys wana Simba SC na kwenda kujichukulia msosi kisha akaanza kutandika taratibu |
![]() |
Wana Simba SC walimchukulia poa tu |
Post a Comment