
DIEGO GODIN KUTINGA MAN U DIRISHA DOGO
Diego
Godin ndio beki mpya anayehusishwa na kujiunga na Manchester United
katika dirisha la usajili la mwezi January. Je unadhani usajili huu
utafanikiwa na Godin ni aina ya beki ambaye Man United inamhitaji?

Post a Comment